Yuko wapi Mkali wa "Imekaa Vibaya" Msanii Kali P?

Yuko wapi Mkali wa "Imekaa Vibaya" Msanii Kali P?

Univetsity corner - t-shirt na jeans
Uswahili - Pengo
Kritic- chekchek
Imam Abbas - Bila sanaa
Nature- kigetogeto
Inspector harun- mtoto wa geti kali
Gangwe Mobb- Tunajirusha
Mr II - Ana miaka chini ya 18
Prof Jay - Chemsha Bongo
Afande Sele- Acha kupiga mayowe
Solo thang- Mambo ya pwani
Jay moe - Bishoo
Mr II ft Jide - Mda mrefu


Ahhhh zamani [emoji23][emoji23]






Sent using Jamii Forums mobile app
Chemsha bongo-ni HBC prof Jay akiwa member
 
Wapi dogo kutoka wanaume family Wanamwita Yasini aka Ydash Mtoto wa IGOGO mrungushi. Rock city
 
Niongezee hapo Kuna K-sal wa mwana mkiwa, voice wonder, k-bazil, Adili chapakazi,fresh p, kaka man, Chelea man, ally com, mc koba, na wengineo

One love

K-sal sio mtu mmoja ni kundi, na pia sio la Tanzania ni Kenya..

Chelea man ni wa 2006 ,ni juzi tu hapo usimlinganishe na hao kina kbazil...
 
Labda amesharudi kijijini kama alivyouliza " sijui nirudi kijijini?"
 
Back
Top Bottom