Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇
👇
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
R.I.P yule mwandishi wa gazeti la Motomoto Bwana Stan Katabalo..!!! Gazeti lake lilikuwa la kwanza kuripot hili jambo, gazeti LIKAFUNGIWA na yeye AKASEPESHWA FASTAKama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇View attachment 2257928
Walimroga?
Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania naiona CCM bado itaendelea kuwepo sana .
Ukitaka kujua hilo wakusanye watanzania 10 waulize tu haki zao 5 za msingi kikatiba ni zipi .
Nakubaliana na wewe ila bado naamini watu kuzijua haki zao ni msingi mkubwa sana wa kuamka na kujua wanapelekwa gizani.kuondoa udhalimu hakuhitaji kujua haki za msingi za kikatiba na mifano juu ya hilo ipo mingi sana
South Africa walikinukisha dhidi ya Makaburu na kikanuka kweli kweli japo majority walikuwa wamenyimwa elimu ya msingi kujua haki zao the same to Islamic brotherhood kule Egypt
kikubwa kinachokosekana hapa Tanzania ni ukosefu wa serious Management ya kusimamia mchakato wa kuitoa CCM Madarakani na tuache kisingizio sijui cha Katiba mpya sijui Tume huru sijui Vyombo vya dola
Tujiulize ndani ya miaka 30 ya mfumo wa Vyama vingi ni mara ngapi Jamii iliamini na ku support wapinzani na hao hao wapinzani wakasaliti dhamira zao za awali
rejea ya Wapinzani wote wakubwa Tanzania tangu mfumo wa vyama vingi kurudi hakuna ambae hajawavunja moyo Raia
Nakubaliana na wewe ila bado naamini watu kuzijua haki zao ni msingi mkubwa sana wa kuamka na kujua wanapelekwa gizani.
Awamu iliyopita ilitumia mwanya huu kufanya chochote , popote na bila kuulizwa na yeyote
Kweli kabisa 👍Kwa mfumo wa elimu ya Tanzania naiona CCM bado itaendelea kuwepo sana .
Ukitaka kujua hilo wakusanye watanzania 10 waulize tu haki zao 5 za msingi kikatiba ni zipi .
Asante 👍kuondoa udhalimu hakuhitaji kujua haki za msingi za kikatiba na mifano juu ya hilo ipo mingi sana
South Africa walikinukisha dhidi ya Makaburu na kikanuka kweli kweli japo majority walikuwa wamenyimwa elimu ya msingi kujua haki zao the same to Islamic brotherhood kule Egypt
kikubwa kinachokosekana hapa Tanzania ni ukosefu wa serious Management ya kusimamia mchakato wa kuitoa CCM Madarakani na tuache kisingizio sijui cha Katiba mpya sijui Tume huru sijui Vyombo vya dola
Tujiulize ndani ya miaka 30 ya mfumo wa Vyama vingi ni mara ngapi Jamii iliamini na ku support wapinzani na hao hao wapinzani wakasaliti dhamira zao za awali
rejea ya Wapinzani wote wakubwa Tanzania tangu mfumo wa vyama vingi kurudi hakuna ambae hajawavunja moyo Raia
Lipumba, Mrema, Mbowe, Slaa, Zitto, Mbatia, Lowassa, Sumaye, Membe, Marando, n.k
matendo yao mengi yamefanya jamii ijione inatumika na ndio sababu imewapuuza na hata wao wanajua
Mkuu umegusa penyeweKwa mfumo wa elimu ya Tanzania naiona CCM bado itaendelea kuwepo sana .
Ukitaka kujua hilo wakusanye watanzania 10 waulize tu haki zao 5 za msingi kikatiba ni zipi .
Kweli kabisa 👍Nakubaliana na wewe ila bado naamini watu kuzijua haki zao ni msingi mkubwa sana wa kuamka na kujua wanapelekwa gizani.
Awamu iliyopita ilitumia mwanya huu kufanya chochote , popote na bila kuulizwa na yeyote
Pia WATANZANIA wengi kwa asili tuna uoga wa kipumbavu tena Sana wakushindwa kudai haki zetu kwa wingi tukitegemea watu wachache watupiganie wakati sote tunahitaji kujipigani.wa Tanzania by nature hayuko serious hata hiyo Elimu ikitolewa itapuuzwa tu
Tatizo WATANZANIA wengi hatupendi kuambiwa ukweli unaouma . Jamaa kaongea ukweli wenye kuuma👍Mkuu umegusa penyewe
Stan Katabalo alikufa kifo cha ghafla ambacho wengi waliibashiri katupiwa jini kwenye droo ya meza. Lakini ni kazi ya wasiojilikana na sumu Yao maarufu ya pollium iliyowekwa mahali Fulani ofisini alipopendelea kugusa kama ilivyokuwa Kwa Mwakyembe.Walimroga?