Yuko wapi Moses Phiri?

Yuko wapi Moses Phiri?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa [emoji12][emoji2][emoji14][emoji28]

Tulipo wambia acheni kumlinganisha Mayele na Moses Phiri tulikuwa tuna sababu kubwa
Na sababu moja ni hii tuliona huyu bwana akianza kukabwa vizuri na mabeki zaidi ya wawili hatoboi kwa uchezaji wake tu ulionekana.

Mpeni sifa Mayele mpaka sasa bado ni mzima hakuna mchezaji ambaye last season na this season ambaye alikuwa anapigwa viatu na mabeki kama Fiston Mayele watu wakijaribu kukanya mnacheka eti tunataka awe anafunga kirahisi.

Phiri kapigwa gundi moja tu kapotea kwenye ramani ya game [emoji22][emoji12][emoji1787]
 
Muulize Mgunda
 
Yuko wapi Moses Phiri? Mbona siku hizi hasikiki tena. Bado ni majeruhi au. Nimecheka kwa uzuni kabisa [emoji12][emoji2][emoji14][emoji28]
Kama kweli umecheka, basi ambulance likukimbize sehemu husika kwa usalama wa wanaokuzunguka
 
Back
Top Bottom