Yuko wapi mpinga forex the list

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Habari za mda wa mechi ya young Africans na Azam
Nipo hapa kuuliz members kuwa Yuko wapi The list ameadimika Sana .
Amekuwa haonekani jukwaani Kwa mda mrefu hadi zikazuka za Chichi kuwa eti The list ni Ruge mutehaba.

Tunaomba member yeyote anaejua aliko huyu Mzee wa idiot,wasted sperms, rubbish, atujuze aliko maana jukwaa limepoa Sana.

Ontanario. Habibu wa simulizi tunaomba mtu juze aliko huyu rafiki yenu .
 
Inasemekana ontario na the bold wamemfanyia ujasusi wakamteka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…