Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yah!niko huku machochwe serengeti.
kumbe jirani....mi nipo nyichoka....basi ukishampata blue....ulizia na TID yupo wapi.....wamepotea sana hawa....
Nasikia kajifungua mtt wa kiume...!me niko hapa kiabakari,ukishaambiwa walipo hao watu uni PM!
Nasikia kajifungua mtt wa kiume...!
mr blue yuko busy analea amekuwa baba...ataki kutelekeza kama walivyo vijana wengine..Namuulizia huyu dogo anaetumia jina la usanii kama mr blue,yuko wapi na anafanya nini?maana longtime sana sijamsikia tangu atoke na ile ngoma yake ya tilalila.
Bushoke nipo tafadhali...wakipatikana hao... mtuletee na Bushoke
mtuletee pia na O'TEN