Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
kwa watakaopenda kumfahamu zaidi mr paul...
tuliwahi kufanya mahojiano na Mr Paul, Mr.Paul ambaye jina lake kamili ni Paul Mbena hivi sasa anaishi nchini Australia akiwa ameoa na ana mtoto mmoja, pia ni muajiriwa anafanya kazi kama Case Manager katika Brain Injury Rehabilitatioun Unit, Liverpool hospital huko huko Australia na bado anaendeleza muziki akiwa na kundi la Okapi Guitars, safari hii tulitaka kujua mengi kuhusu kundi hili ndipo nilipomuuliza Okapi Guitars na akina nani na wameanza lini kazi ya muziki?
Okapi Guitars imeanza lini?
Mr Paul: The Okapi Guitars ni Afropop bendi ya muda mrefu (since 1990s) hapa Sydney. Mimi nilijiunga nayo mwishoni mwa mwaka jana November 2011 nikiwa mwaka wa mwisho Melborune University. Okapi Guitars wana historia ya muda mrefu katika medani ya muziki wa Kiafrika. Wamekuwa wakipiga Zimbabwean chimurenga to Kenyan classics, to West African hi-life and afrobeat. The Okapi Guitars, kabla ya mimi kujiunga nao, wame-share stage na bands kama the Mahotella Queens (South Africa), Tchico Tchicaya (Congo), na Oliver Mtukudzi na Thomas Mafumo (Zimbabwe)
Hivyo kujiunga kwangu na the Okapi Guitras ni nafasi kwangu kutangaza muziki wa Kiswahili toka Tanzania.
Kuna wananmuziki wangapi?
Mr Paul: The Okapi Guitars ina jumla ya manamuziki watano, pamoja na mimi kama lead singer. Wengine ni:
· John-Rhythm guitar
· Bernhard Lead guitar
· Sigi- Bass guitar
· Chris- Drummer..
mr paul himself..