Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
mkuu wimbo wake ninao sema kuuweka hapa unakataa ila upo YouTube au blog inaitwa mitikiso.com yenyewe ina nyimbo za zamani tuu
sema ukweli mzeebaba ochu?Yupo humuhumu Jf tena anatumia jina hilo hilo
Yupo Sinza ,amegeuka omba omba kazi kuomba anunuliwe bia na sigara.Huyu jamaa alikuwa anajiita Buibui alitamba na wimbo wa nimekusamehe miaka ya nyuma kidogo??
Juzi tuu msanii Alice keyla alifanya cover ya huu wimbo ikabidi nimkumbuke mwenye wimbo! Ingia YouTube utaupata.
Wimbo ni R&B
Nasubiri majibu.
Nasema uongo Mzee babasema ukweli mzeebaba ochu?
Bora useme ukweli mzeebaba ππNasema uongo Mzee baba
Sawa sawa mkuu kama nawe unauelewa huo wimboDah umenikumbusha huyo jamaa wimbo wake wa "nimekusamehe" ulibamba sana miaka ya 2005 mpaka 2007 he was so talented but alikuwa hana discipline na kazi yake.
nilikuwaga najua ni tetesi Kumbe kwelijamaa alikua ni msanii wa tht huyo
ππ mkuu hivi unawazaga nini??Alikuwa mwimbaji mzuri enzi za uhai wa muziki wake.
Daah Kumbe? ndo maana yupo kimya.Daahh Alikuwaga mshikaji wangu sana kitambo enzi za u-teenager
Ila tatizo anakula Sana ganja ..na ana tumia unga kimtindo ... ni mtu wa vizinga ile mbaya muda wote
Sent using Jamii Forums mobile app
aah acha hizo mzeehuyu mbona mteja siku mingi
Daah so sad. Jamaa kipaji anacho sijui connection??Yupo Sinza ,amegeuka omba omba kazi kuomba anunuliwe bia na sigara.
Inategemea ... alikuwa na ushawishi upi katika jamii ... ila jamaa ni born talent ila hajitambui ... tena majuzi tu nilikuwa na jamaa yangu 1 hivi tukawa tuna kumbushiana kuhusu vituko vyakeDaah Kumbe? ndo maana yupo kimya.
Hivi mkuu wimbo wake mpaka Leo kuna watu wanskliza??