Yuko wapi msanii Buibui alietamba na wimbo wa nimekusamehe?

Yuko wapi msanii Buibui alietamba na wimbo wa nimekusamehe?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Huyu jamaa alikuwa anajiita Buibui alitamba na wimbo wa nimekusamehe miaka ya nyuma kidogo??
Juzi tuu msanii Alice keyla alifanya cover ya huu wimbo ikabidi nimkumbuke mwenye wimbo! Ingia YouTube utaupata.
Wimbo ni R&B
Nasubiri majibu.
 
Yupo Sinza ,amegeuka omba omba kazi kuomba anunuliwe bia na sigara.
 
Dah umenikumbusha huyo jamaa wimbo wake wa "nimekusamehe" ulibamba sana miaka ya 2005 mpaka 2007 he was so talented but alikuwa hana discipline na kazi yake.
 
Dah umenikumbusha huyo jamaa wimbo wake wa "nimekusamehe" ulibamba sana miaka ya 2005 mpaka 2007 he was so talented but alikuwa hana discipline na kazi yake.
Sawa sawa mkuu kama nawe unauelewa huo wimbo
 
Daahh Alikuwaga mshikaji wangu sana kitambo enzi za u-teenager

Ila tatizo anakula Sana ganja ..na ana tumia unga kimtindo ... ni mtu wa vizinga ile mbaya muda wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah Kumbe? ndo maana yupo kimya.
Hivi mkuu wimbo wake mpaka Leo kuna watu wanskliza??
 
Back
Top Bottom