Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Em nipasulie kidoogo hivyo vituko vyake mkuu 😂😂Inategemea ... alikuwa na ushawishi upi katika jamii ... ila jamaa ni born talent ila hajitambui ... tena majuzi tu nilikuwa na jamaa yangu 1 hivi tukawa tuna kumbushiana kuhusu vituko vyake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ana wimbo mwingine uni anaitwa MAWAZO. Dah jamaa alikuwa msanii sema zama zimepita.[emoji23][emoji23] mkuu hivi unawazaga nini??
Sitaki zambi za bure.....Bora useme ukweli mzeebaba 😂😂
ntaucheki mkuuHapana mkuu ana wimbo mwingine uni anaitwa MAWAZO. Dah jamaa alikuwa msanii sema zama zimepita.
Nilipenda sana wimbo huo.
Na wewe unauelewa huo wimbo mkubwa?Nimekusamehe mpenzi kwa yale uliyofanya. Naona bora turudie.................
Sana mkuuAlikuwa anajua sana..
Bonge la wimbo.ntaucheki mkuu
Kuna jamaa mmoja tulikuwa tuna scho nae, alikuwa anajiita G smile. Alipenda sana kuuimba huo wimbo.Na wewe unauelewa huo wimbo mkubwa?
Jamaa alikuwa anajua sana
Nadhani atakuwa ni vumiliaEm nipasulie kidoogo hivyo vituko vyake mkuu [emoji23][emoji23]
Halafu yule dem kaingiza vocal mwishoni kidogo kwenye hiyo ngoma anaitwa nani??
Sasa ananyingine ilikuwa inaimbwa hiviNimekusamehe mpenzi kwa yale uliyofanya. Naona bora turudie.................
Kiukweli wimbo ni mkali Mkubwa..Kuna jamaa mmoja tulikuwa tuna scho nae, alikuwa anajiita G smile. Alipenda sana kuuimba huo wimbo.
Nae huyu Dada alikuwa ni hatari na unusu!
Hiyo ni kali zaidi kuliko nimekusamehe kwa upande wangu....Sasa ananyingine ilikuwa inaimbwa hivi
Kula sili si-tamani (kwa sababu yako )
Sisomi wala sielewi (kwa sababu yako )
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa hiyo ni matata pia ... basi mimi nilikuwa nina sikiliza ngoma zake nyingi sana tukiwa studio fulani hivi ilikuwa inaitwa Tattoo record .... tulikuwaga tunakwenda then anaingiza vocal paleHiyo ni kali zaidi kuliko nimekusamehe kwa upande wangu....
Jamaa anajua kweli nakumbuka enzi hizo ndo najifunza kuingia club billz mara ya kwanza nilimkuta buibui anapaform ngoma hiyo
Daah Kumbe? ndo maana yupo kimya.
Hivi mkuu wimbo wake mpaka Leo kuna watu wanskliza??
Kweli mkuu sauti zilikua zimetulia sana ndani ya hiyo nyimbo... naweza kuipata youtube kweli hiyoBuibui alikua msanii bora THT ya kwanza ndio vocalist master (yelelemama baba hayupo mama hayupo tumebaki yatima).
Na wewe ulikua unaingiza vocal nn mzeeHahaa hiyo ni matata pia ... basi mimi nilikuwa nina sikiliza ngoma zake nyingi sana tukiwa studio fulani hivi ilikuwa inaitwa Tattoo record .... tulikuwaga tunakwenda then anaingiza vocal pale
Sent using Jamii Forums mobile app