Yuko wapi msanii Buibui alietamba na wimbo wa nimekusamehe?

Yuko wapi msanii Buibui alietamba na wimbo wa nimekusamehe?

Inategemea ... alikuwa na ushawishi upi katika jamii ... ila jamaa ni born talent ila hajitambui ... tena majuzi tu nilikuwa na jamaa yangu 1 hivi tukawa tuna kumbushiana kuhusu vituko vyake

Sent using Jamii Forums mobile app
Em nipasulie kidoogo hivyo vituko vyake mkuu 😂😂
Halafu yule dem kaingiza vocal mwishoni kidogo kwenye hiyo ngoma anaitwa nani??
 
Kuna jamaa mmoja tulikuwa tuna scho nae, alikuwa anajiita G smile. Alipenda sana kuuimba huo wimbo.
Kiukweli wimbo ni mkali Mkubwa..
Hivi aliyesuka ile beat nani mkuu?
Kinanda kimepigwa powa sanaa
 
Sasa ananyingine ilikuwa inaimbwa hivi

Kula sili si-tamani (kwa sababu yako )

Sisomi wala sielewi (kwa sababu yako )

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni kali zaidi kuliko nimekusamehe kwa upande wangu....

Jamaa anajua kweli nakumbuka enzi hizo ndo najifunza kuingia club billz mara ya kwanza nilimkuta buibui anapaform ngoma hiyo
 
Hiyo ni kali zaidi kuliko nimekusamehe kwa upande wangu....

Jamaa anajua kweli nakumbuka enzi hizo ndo najifunza kuingia club billz mara ya kwanza nilimkuta buibui anapaform ngoma hiyo
Hahaa hiyo ni matata pia ... basi mimi nilikuwa nina sikiliza ngoma zake nyingi sana tukiwa studio fulani hivi ilikuwa inaitwa Tattoo record .... tulikuwaga tunakwenda then anaingiza vocal pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buibui alikua msanii bora THT ya kwanza ndio vocalist master (yelelemama baba hayupo mama hayupo tumebaki yatima).
 
Back
Top Bottom