Yuko wapi msanii Buibui alietamba na wimbo wa nimekusamehe?

Daah Kumbe? ndo maana yupo kimya.
Hivi mkuu wimbo wake mpaka Leo kuna watu wanskliza??
Mkuu kama ulikuwa kijana enzi huo wimbo unatoka....basi Leo ukiusikia mahali unapigwa lazima usimame kwanza uusikilize mpaka uishe ndio uendelee na safari yako.sheria ni zile zile za wimbo Wa taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…