hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Yeah nilishawahi kufanya hizo harakati kitambo kiasiNa wewe ulikua unaingiza vocal nn mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah nilishawahi kufanya hizo harakati kitambo kiasiNa wewe ulikua unaingiza vocal nn mzee
safi mkuu
Duh basi jamaa yupo vizuriBuibui alikua msanii bora THT ya kwanza ndio vocalist master (yelelemama baba hayupo mama hayupo tumebaki yatima).
Mimi ninao na nausikiliza sanaDaah Kumbe? ndo maana yupo kimya.
Hivi mkuu wimbo wake mpaka Leo kuna watu wanskliza??
😂😂😂mkuu me ni pancho bwana halafu me siyo msanii mkuu me ni deejayMimi ninao na nausikiliza sana
Sema una akili, unajifuatilia kijanja
Ulipata wimbo wake wa Mawazo?[emoji23][emoji23][emoji23]mkuu me ni pancho bwana halafu me siyo msanii mkuu me ni deejay
nimeupata mkuuUlipata wimbo wake wa Mawazo?
Husikii mwishoni anasema 'MASTER J HUKOSEI'Kiukweli wimbo ni mkali Mkubwa..
Hivi aliyesuka ile beat nani mkuu?
Kinanda kimepigwa powa sanaa
Mkuu kama ulikuwa kijana enzi huo wimbo unatoka....basi Leo ukiusikia mahali unapigwa lazima usimame kwanza uusikilize mpaka uishe ndio uendelee na safari yako.sheria ni zile zile za wimbo Wa taifa.Daah Kumbe? ndo maana yupo kimya.
Hivi mkuu wimbo wake mpaka Leo kuna watu wanskliza??
HahahahahaMkuu kama ulikuwa kijana enzi huo wimbo unatoka....basi Leo ukiusikia mahali unapigwa lazima usimame kwanza uusikilize mpaka uishe ndio uendelee na safari yako.sheria ni zile zile za wimbo Wa taifa.
Sent using Jamii Forums mobile app