Yuko wapi msanii Dullayo?

Yuko wapi msanii Dullayo?

Jamaa yupo tu mjini daslama sema kabadili hata muonekano
 
Dullayo,

Ana hits kama,
Twende na mimi,
Mida ya kazi na nyingine kibao,

Pombe na unga vilimpeleka vibaya kiasi cha kupotea kwenye ramani ya muziki,hadi kufikia kushindia mihogo ya miatano.

Mara ya mwisho nilimuona Tabata kimanga akiwa rafu na aliyekata tamaa ,maisha ya wasanii ya siri nzito sana
 
Daaah
 
Umeshawahi kupenda au umeshawahi kupendwa....fill.... bilaaaaaa yuleee.....
 
Haka kajama hua napenda kukasikiliza na nyimbo zake. Kuna time nikawaza labda angekua wasafi ningefaidi the potentiality in him
 
Kuna siku tulikua nae pale ukonga mombasa kwenye bar flani hivi nikaona anakunywa double kick balaa..
 
Back
Top Bottom