Yuko wapi msanii Dullayo?

Yuko wapi msanii Dullayo?

Dullayo,

Ana hits kama,
Twende na mimi,
Mida ya kazi na nyingine kibao,

Pombe na unga vilimpeleka vibaya kiasi cha kupotea kwenye ramani ya muziki,hadi kufikia kushindia mihogo ya miatano.

Mara ya mwisho nilimuona Tabata kimanga akiwa rafu na aliyekata tamaa ,maisha ya wasanii ya siri nzito sana
Duuuh poleee yake
 
Ile "naomi wa rohooo, natamani hata leo nikuchape baby wanizingushaa"" ndo kali sana🤒
 
Back
Top Bottom