Yuko wapi msanii Malaika?

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2016
Posts
1,982
Reaction score
2,931
Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana.
Au kaacha mziki.

 
Kuna nyimbo inaitwa haachi itafute mkuu hutojutia kumjua....

Halafu kati ya wasaniii wa kike huyu ndio nadhani anaongoza kwa mvuto....

Jamaa anaemiliki atakuwa anafaidi sana mapenzi kutoka kwa huyo mwanadada Malaika....
Anachomiliki ni kipi hasa...?
 
Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana
 
Huyu mchaga anapozi za hatari sana,anawararua rarua tu
 
Chege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana
[emoji13] [emoji13] ila yule sijui mke wake hata sio mzuri, ila mwenyewe anampenda hadi anaenda naye kwny interview
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…