mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
Hivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana.
Au kaacha mziki.
Au kaacha mziki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AfeeYuko sana nje anapiga show huko.
Kama Nandu vile?😀😀😀😀😀😀Kumbe tupo wengi tunaomwelewa malaika.Ni mtamuuuu
Baby naona kila kitu unafatilia.Yuko sana nje anapiga show huko.
Anachomiliki ni kipi hasa...?Kuna nyimbo inaitwa haachi itafute mkuu hutojutia kumjua....
Halafu kati ya wasaniii wa kike huyu ndio nadhani anaongoza kwa mvuto....
Jamaa anaemiliki atakuwa anafaidi sana mapenzi kutoka kwa huyo mwanadada Malaika....
Ana ChuraAnachomiliki ni kipi hasa...?
Mkuu Hujafa Hujaumbika, Acha Kuita Binadamu Wenzio Kitu Cha AjabuChege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana
Muogope Mungu weweChege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana
Yupo USA ni baada ya kuzinguana na Baby sponsor wake wa bongoHivi huyu mwanadada mrembo Malaika kaishia wapi? Wimbo wake wa sale sale nauelewa sana.
Au kaacha mziki.
Kumbe Mchaga? Nilidhani kanda ya kati. Mana anahulka za sepetu...Huyu mchaga anapozi za hatari sana,anawararua rarua tu
Yule atakuwa mhaya au mnyambo niliwahi sikia historia yake chimbuko lake ni kageraHivi Malaika ni Muhayaa?
[emoji13] [emoji13] ila yule sijui mke wake hata sio mzuri, ila mwenyewe anampenda hadi anaenda naye kwny interviewChege kamintroduced kwenye game akamlamba kaenda kuzaa na kitu cha ajabu..bangi mbaya sana