Yuko wapi msanii Malaika?

Yuko wapi msanii Malaika?

Huyu dada cha ajabu haringi niliwahi muona coco beach walikua wanatengeneza kipindi na TBC nikafanya kumuongelesha mtoto yupo fresh hana pozi hata moja yani full kutoa ushirikiano...ila nilishangaa kumkuta kwamba ni mfupi..
 
Yap, hizi camera sometimes zinadanganya, ukijaribu kumuangalia kwenye 'Uswazi Take-away' anaonekana bonge la Tall
 
Back
Top Bottom