Wale wapenzi wa sanaa na hasa ngoma za asili kipindi cha miaka ya 80 hadi 2000 bila shaka watamkumbuka Norbert Chenga na kikundi chake cha Muungano Dancing Troupe aliyejizolea umaarufu kutokana na uwezo wake wa kuchezea nyoka. Je msanii huyu kwa sasa yuko wapi?
Kipindi hiki vikundi vya Kibisa na wengineo waliwika sana katika tasnia ya ngoma za utamaduni, sarakasi, mazingaombwe na kadhalika.
Kipindi hiki vikundi vya Kibisa na wengineo waliwika sana katika tasnia ya ngoma za utamaduni, sarakasi, mazingaombwe na kadhalika.