T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
O-ten
Usiwe mgumu wa kutoa utaonekana mme bwege wajanja wakakuzidi kete kwa tiketi ya ndege.
Usiwe mgumu wa kutoa utaonekana mme bwege wajanja wakakuzidi kete kwa tiketi ya ndege.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...we dogo si umefiwa,O-ten
Usiwe mgumu wa kutoa utaonekana mme bwege wajanja wakakuzidi kete kwa tiketi ya ndege.
Mbona kama umekuja kwa kasi sana...we dogo si umefiwa,
.msiba umeisha?
...jinsia yako tafadhali;Mbona kama umekuja kwa kasi sana
Uyasemayo yote ni kweli. O 10 yupo Morogoro, na pia huwa anapatikana Kilakala ktk nyumba yao urithi. Na ana ndugu yake (Nyandindi Family) pale CRDB Morogoro - Masika Mt. Ngoto, walau kidogo yule jamaa alikuwa "anamlinda" nae yakamshinda!Sawa Mkuu! Unaweza Kunijibu Haya Maswali Kama Unamjua O Ten Vizuri?? Na Unaifahamu Morogoro??
Unapajua Kwa Baki!?
Unamjua Wile Matajiri?
Unapafahamu Kwa Kina , BELE9, AFANDE SELE, SAMIRY,STAMINA, O TEN??
Unajua Vizuri Mahewa Record Ilipo???
Ukinijbu Haya Nitajua Kuwa Nabishana Na Nani!!
Otherwise Jibu Hoja Kwa Hoja Usipende Kubisha Vitu Usivyovijua!!
OTEN Yupo Moro! Anashinda Manzese Anashinda Na Kina Wanyoka! Jion Anakuja Kula Weed Kwa Baki!
Kama Mim Nadanganya Weka Mpunga Tukutane Hapa Kiwanda Cha Tumbaku Nikupeleke Ukapige Nae Picha.
Nimeshakujua unaetuchoresha humu.namtonya baki akushughulikieUnaunguza picha ujue!
Kausha mshkaji!Nimeshakujua unaetuchoresha humu.namtonya baki akushughulikie
Dah kweli masikio yanatofautiana! Nyandindi ni rapa bora? Ile inaitwa katuni hana tofauti na akina KalamaRapa bora wa muda wote,Jamaa was good.Hivi kina FA na AY kwanini wasiwekeze kwenye hiki kipaji?
Au ndio roho mbaya!
aaaaah baki hana ujanja wa kunifanya lolote!!! cc ndio tunaomleaNimeshakujua unaetuchoresha humu.namtonya baki akushughulikie
unamaanisha kilakala kwa winga kwa kina lazaro juu kule?Uyasemayo yote ni kweli. O 10 yupo Morogoro, na pia huwa anapatikana Kilakala ktk nyumba yao urithi. Na ana ndugu yake (Nyandindi Family) pale CRDB Morogoro - Masika Mt. Ngoto, walau kidogo yule jamaa alikuwa "anamlinda" nae yakamshinda!
Ukiona MTU anakimbilia kutukana, ujue hajiamini....jinsia yako tafadhali;
..swali limekaa kichokochoko!
Hivi huyu alikuwa mtoto wa Mzee Nyandindi aliyekuwa TANROAD?OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Sijajua Tittle Ya Baba Ake! Ila Walikuwa Na Ridhiki Kidogo KwaoHivi huyu alikuwa mtoto wa Mzee Nyandindi aliyekuwa TANROAD?
Baba yake alikuwa nazo.Alikuwa mfanyabiashara, Mjenzi.Sijajua Tittle Ya Baba Ake! Ila Walikuwa Na Ridhiki Kidogo Kwao
Yupo kwao ShinyangaHivi nura wa ice cream na vijimambo yupo wapi?
Musiba bado haujaisha mkuu........we dogo si umefiwa,
.msiba umeisha?