Yuko wapi msanii Phillipo Nyandindi (O-TEN)

Rapa bora wa muda wote,Jamaa was good.Hivi kina FA na AY kwanini wasiwekeze kwenye hiki kipaji?
Au ndio roho mbaya!
 
Uyasemayo yote ni kweli. O 10 yupo Morogoro, na pia huwa anapatikana Kilakala ktk nyumba yao urithi. Na ana ndugu yake (Nyandindi Family) pale CRDB Morogoro - Masika Mt. Ngoto, walau kidogo yule jamaa alikuwa "anamlinda" nae yakamshinda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…