Yuko wapi msanii Phillipo Nyandindi (O-TEN)

....Napenda sana mademu....Napenda sana pombe yaaan kiufupi napenda kujirusha.....

Kwa mistari hiyo unategemea mtu kama huyo awe wapi muda huu?
kama anapenda kujirusha basi atakuwa anaitafuta sayari ya Mars sasa...
 
Watu wa Moro mnafurahisha. Hivi Moro pale kuna jiji au kijiji? Haiwezekani watu mnadukuana fasta hivyo wakati mpo nyuma ya keyboard.
 
Hahahaha
 
Hahahaaaaaaaa,basi Mkuu,ila utakuwa wa mji kasoro meli wewe
 
Squeezer na homeboy wake Isack! Hawa nilikuwa mbele yao Moro Sec. Wakati huo pale Montuary kuna chaka, "wamefanya sana fujo"


!
!
Kwa ukongwe huo wa kitambo hicho bila shaka akina Puzo Lee, Zi Don pee, kina Nash G, Mc Ndollo, Papo D na maswala yote ya Disko na mashindano ya kurap Rock garden, Mango Garden pamoja na Morogoro hotel shimoni sio mgeni
 
!
!
Kwa ukongwe huo wa kitambo hicho bila shaka akina Puzo Lee, Zi Don pee, kina Nash G, Mc Ndollo, Papo D na maswala yote ya Disko na mashindano ya kurap Rock garden, Mango Garden pamoja na Morogoro hotel shimoni sio mgeni
Haaa. Haaa. Haaa. Huu Uzi noma. Umenikutanisha na ndg zangu wa Morogoro kitambo, weee Mhenga wewe! Mango Garden ya Innocent Kalogeres! Hao ote uliowataja nawakumbuka mkuu! Wakati huo pale Masuka Village alikokuwa anafanya mazoezi Puzo Lee ya kunyanyua chuma kulikuwa na mbabe anaitwa DAMME!
 
Noma sanaaaa hiii ngoma umenikumbushaaaa mbali sana mkuu....regional commisioner iyo...dahhh
 
Noma sanaaaa hiii ngoma umenikumbushaaaa mbali sana mkuu....regional commisioner iyo...dahhh
Jamaa anaweza sana, sema ndo hivyo tu system iko corrupt, mtu angeweza kupiga pesa hata kama haimbi tena
 


!
!
Umetisha mno. Kipindi hicho hadi hawa kina [HASHTAG]#twoproud[/HASHTAG] wanakuja kupaform Forest hill Sekondari hahaha watoto wazuri hostel kwa [HASHTAG]#Mwambange[/HASHTAG] kule chini maliasili sio na ubrazaduu ni kucheza kikapu. Ni shida kubwa mzee. Tumetawanyika mnoo
 
Mfukoni nna kama M flani na upuuzi wakati miaka ile milioni unanua kiwanja tegeta stahehe mbaya aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…