Yuko wapi msanii Phillipo Nyandindi (O-TEN)

Tatizo vijana hupenda maisha ya kucopy ndio yale unakuta demu kaazima nguo anaenda kutana na mchizi kaazima gari dizain ya kina O kumi
 
Toka nianze kusoma sijawahi kufaulu
Hata nikiwa class napiga tu mitindo huru.
Mimi ni mkuu wa mkoa nipo juu zaidi ya meya,Mimi ni Kama baba kwenye family nalea
Mimi ni kama king ,Niko juu zaidi ya Queen .eya eya,,niite regional Commissioner!;
ECT
 
Inategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana hela
Kumbe yule mama alitoka CBE na ni mbunge sasa ivi?
 
Watu wa Moro mnafurahisha. Hivi Moro pale kuna jiji au kijiji? Haiwezekani watu mnadukuana fasta hivyo wakati mpo nyuma ya keyboard.
[emoji1] [emoji1] unaitwa mji kasoro bahari mkuu.
 
Inategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana hela
Mkuu Gk familia yake haikuwa vibaya tangu kitambo, baba yake Kwa sasa ni marehemu aliwahi kuwa waziri.
 
Mimi ninapendwa namademu mm nachukiwa nawauni..mimi ninapendwa na wajanjaa sipendwi na wajinga nachukiwa nawazembee mm...
 
Mwambange tumbo tumbo[emoji2] [emoji2] [emoji2] huu uzi unanikumbusha Moro
 
Samahanini jamani. Kuna mwanamuziki wa bongo flava wa kipindi chetu sisi wahenga wa 30-40 alifariki na kuzikwa Dodoma miaka ya hivi karibuni. Nilifikiri ni O-Ten. Hebu nikumbusheni ni nani. Aliimba na Ray C "kama vipi vaa tutoke" Siwezi ku-google kwa sababu sikumbuki jina.
 
Mez B
 
Duh!
Kweli maisha hayana fomla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…