Upiversity
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,487
- 2,632
...ha ha haMmmmh!, huo ubini wangu ndio umekusaidia kuniotea mkuu, wewe ni mtu wa pili kunijua humu, umetisha kwani hadi nickname la utotoni umelitaja,
..Kibosongo umekuwa mpole tu,
.dadeki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...ha ha haMmmmh!, huo ubini wangu ndio umekusaidia kuniotea mkuu, wewe ni mtu wa pili kunijua humu, umetisha kwani hadi nickname la utotoni umelitaja,
...ha ha ha
..Kibosongo umekuwa mpole tu,
.dadeki!
Kumbe yule mama alitoka CBE na ni mbunge sasa ivi?Inategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana hela
[emoji1] [emoji1] unaitwa mji kasoro bahari mkuu.Watu wa Moro mnafurahisha. Hivi Moro pale kuna jiji au kijiji? Haiwezekani watu mnadukuana fasta hivyo wakati mpo nyuma ya keyboard.
Mkuu Gk familia yake haikuwa vibaya tangu kitambo, baba yake Kwa sasa ni marehemu aliwahi kuwa waziri.Inategemea definition yako ya Ushua! By then mama Gk alikua mhadhiri tu CBE amepata hela kwenye Ubunge miaka ya karibuni lakini kwa wakati ule ilikua familia ya kawaida tu yenye uhakika wa kula na kuvaa ila tulikariri wakazi wa Upanga wana hela
Mwambange tumbo tumbo[emoji2] [emoji2] [emoji2] huu uzi unanikumbusha Moro!
!
Umetisha mno. Kipindi hicho hadi hawa kina [HASHTAG]#twoproud[/HASHTAG] wanakuja kupaform Forest hill Sekondari hahaha watoto wazuri hostel kwa [HASHTAG]#Mwambange[/HASHTAG] kule chini maliasili sio na ubrazaduu ni kucheza kikapu. Ni shida kubwa mzee. Tumetawanyika mnoo
Mwambange tumbo tumbo[emoji2] [emoji2] [emoji2] huu uzi unanikumbusha Moro
Mez BSamahanini jamani. Kuna mwanamuziki wa bongo flava wa kipindi chetu sisi wahenga wa 30-40 alifariki na kuzikwa Dodoma miaka ya hivi karibuni. Nilifikiri ni O-Ten. Hebu nikumbusheni ni nani. Aliimba na Ray C "kama vipi vaa tutoke" Siwezi ku-google kwa sababu sikumbuki jina.
Duh!OTEN Yupo Morogoro Manzese! Muda Mwingi Anakujaga Kitaa Chetu Anakuja Kula Weed Na Wenzie! Inshort Kachoka Mbaya!!!!
Last time Walikuja Kubebwa Wala Weed Nae Akasombwa!! Ashukuliwe Braza Wile Matajiri Wa Mahewa Records Alienda Kumchomoa!!!
OTEN YUPO MORO NI MTEJA TU.
Kila Ninapomuona Naumia Sana! Asa Nikikumbuka Ile Nyimbo Aliyomponda Afande Sele! (Mimi), Sasa Hiv Wote Wamepotea! Afande Sele Nae Napishana Nae Kwenye Kubeti Tu!!!
INAUMANA sana
Mez B