Yuko wapi msanii PNC?

Yuko wapi msanii PNC?

Sio kama nadharau au kukebehi imani yako ila waganga wote ninaowafahamu ni waislamu swafi mmoja wao ni marehemu shehe yahaya na sijaona mganga wa kienyeji anayeenda kanisani.


Mchungaji Gwajima, Joshua na wengine wote ni waganga wa kienyeji. We vipi?
 
yupoo..mimi ni mwanangu japo sio saaaana ila do go hi a anazingua tumewahikuandaa shoo Tanga alilewa hadi kuzima mimimwenyewe ndionilimmwagia majimpaka kuzinduka...nadhanikutojielewa naulevi wanawake n.k ndiovimemuua.
Andika vizuri kwa kuacha nafasi katika kila neno[emoji422]
 
Kwa uandishi huu huwezi kuandaa shoo mkuu.
Ukiona uko busy basi maliza kwanza majukumu ndio uje uchangie. Sema labda huna uhakika Na habari unaamua kufanya hivo.
unaonyesha ukiwa mwalim utasahihisha mwandiko sio usahihi wa jibu. vipi miandiko ndiohua inaandaa show au hela?hahahaha..acha umadenge wewe sometimes tunakua bize so ukiona mtu ameuliza kitu unachoweza kuchangia kwa uhakika una type haraka ili uendelee na kazi. show pesa sio uandishi wa habari...
 
Pnc ni msanii mwenye kipaji na sauti nzuri alifanya vizuri miaka ya nyuma kidogo na nyimbo zake zilihit sana kwa sasa naona kapotea sana kwenye game mara ya mwisho kupata habari zake walisema kulikuwa na kutoelewana kidogo na boss wake aliyekuwa anasimamia kazi zake hivyo ikabidi aende kuomba msamaha,baada ya hapo mashabiki zake tulitegemea jamaa angerudi tena kwenye game kwa kishindo kwa sababu walikuwa wamesha maliza tofauti zao lakini hatujasikia tena ngoma kutoka kwake,kwa wenye taarifa zozote za jamaa watujuze ?View attachment 377023hapo alikuwa anaomba msamaha kwa uongozi wakeView attachment 377024
Yupo goms anakula ugoro...
 
Back
Top Bottom