Yuko wapi msanii PNC?

Sio kama nadharau au kukebehi imani yako ila waganga wote ninaowafahamu ni waislamu swafi mmoja wao ni marehemu shehe yahaya na sijaona mganga wa kienyeji anayeenda kanisani.


Mchungaji Gwajima, Joshua na wengine wote ni waganga wa kienyeji. We vipi?
 
Mchungaji Gwajima, Joshua na wengine wote ni waganga wa kienyeji. We vipi?
Wanaweza wakawa wanatumia giza lakini naongelea uganga rasmi wa waziwazi we niaje?
 
yupoo..mimi ni mwanangu japo sio saaaana ila do go hi a anazingua tumewahikuandaa shoo Tanga alilewa hadi kuzima mimimwenyewe ndionilimmwagia majimpaka kuzinduka...nadhanikutojielewa naulevi wanawake n.k ndiovimemuua.
Andika vizuri kwa kuacha nafasi katika kila neno[emoji422]
 
Kwa uandishi huu huwezi kuandaa shoo mkuu.
Ukiona uko busy basi maliza kwanza majukumu ndio uje uchangie. Sema labda huna uhakika Na habari unaamua kufanya hivo.
 
Yupo goms anakula ugoro...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…