yuko wapi mtangazaji Julius Nyaisangah?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
wadau napenda kujua wapi aliko siku hizi mtangazaji maarufu nchini Julius Nyaisangah ambaye amewahi kufanya kazi ktk vituo vya Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) na Radio one stereo?
 
Kweli kapotea mazima yule mzee, alikuwa mtangazaji mzuri sana..
 
Baada ya kufanyiwa mtima nyongo na Joice Mhavile sasa hivi anatesa Abood Radio na TV tune utamsikia.
 
mwaka 2010..nlikutana nae morogoro akiwa ktk redio ya abood sjui
 
Ndio kajichimbia huko.!?

Lakini Mhimu maslai.!!
 
Bado yupo huku na kapewa ukurugenzi
 
wadau napenda kujua wapi aliko siku hizi mtangazaji maarufu nchini Julius Nyaisangah ambaye amewahi kufanya kazi ktk vituo vya Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) na Radio one stereo?

na itv pia alfanya kazi
 
Ni Mkurugenzi wa Abood Media huku kwetu Jiji kasoro Beach kwa Mbaraka Mwinshehe
 
Kweli huyu jamaa ninamkumbuka sana, hasa alipokuwa RTD katika kile kipindi cha MATSUSHITA ELECTIC COMPANY LTD, almaarufu kilikuwa kinaitwa "VIJANA LEO" Kipindi cha dk 15, lakini alivyokuwa anasoma salamu za kadi kwa uharaka, mpaka sasa karne hii sijaona
 
Kama ameacha kilauri mambo lazima yamnyookee! Ni mahiri hasa.
 
Kwani siku hizi kuna watangazaji au kuna ma-dj tu na wasema ovyo tu
 
Ni mkurugenzi wa abood media,still chapombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…