Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau napenda kujua wapi aliko siku hizi mtangazaji maarufu nchini Julius Nyaisangah ambaye amewahi kufanya kazi ktk vituo vya Radio Tanzania Dar es salaam (RTD) na Radio one stereo?
Kweli kapotea mazima yule mzee, alikuwa mtangazaji mzuri sana..
Hajasilimishwa?Bado yupo huku na kapewa ukurugenzi
Kweli huyu jamaa ninamkumbuka
sana, hasa alipokuwa RTD katika kile kipindi cha MATSUSHITA ELECTIC
COMPANY LTD, almaarufu kilikuwa kinaitwa "VIJANA LEO" Kipindi cha dk 15,
lakini alivyokuwa anasoma salamu za kadi kwa uharaka, mpaka sasa karne
hii sijaona