Yuko wapi mtangazaji Pendael Omary?

Yuko wapi mtangazaji Pendael Omary?

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,474
Reaction score
125,866
Kwa muda mrefu sasa tangu 2011, sifuatilii habari mbalimbali kupitia Redioni na kuangalia Luninga/Television.

Kwa sasa mitandao ya kijamii ndio chanzo kikuu kinachonipatia habari mbalimbali kutoka kila kona ya Dunia.

Huyo mtangazaji tajwa hapo juu alikuwa ni mtangazaji wa moja ya kituo cha Redio(sikumbuki ni kituo kipi) cha Serikali.

Kwa sasa mtangazaji huyo bado yupo anachapa kazi?

Mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
Huyu alikuwa TBC..back in the days wanaonyesha kombe la dunia 2010 huyu jamaa alikuwa mwendesha kipindi cha uchambuzi kama sijakosea..
 
Mkuu hata akiwa humu hawezi kujitaja
Watangazaji saivi wanaishi kwa hofu ya "kuchafuliwa"
Kama bado anachapa kazi kwenye utangazaji lazima awe anasikika mara kwa mara na hilo haliwezi kuzuilika maana ni jukumu la kazi yake
 
Huyu alikuwa TBC..back in the days wanaonyesha kombe la dunia 2010 huyu jamaa alikuwa mwendesha kipindi cha uchambuzi kama sijakosea..
Kwa hiyo inawezekana bado yupo TBC akiendelea na kazi? Maana kimy kingi sana kuhusu huyu mtangazaji.
 
TBC sijaiangalia kwa muda..kwahiyo sina hakika juu ya uwepo wake hadi leo pale tbccm
Kwa hiyo inawezekana bado yupo TBC akiendelea na kazi? Maana kimy kingi sana kuhusu huyu mtangazaji.
 
TBC sijaiangalia kwa muda..kwahiyo sina hakika juu ya uwepo wake hadi leo pale tbccm
Ngoja tuendelee kusubiri wanaojua alipo huyu mtangazaji watupe habari zake
 
Huyu alikuwa TBC..back in the days wanaonyesha kombe la dunia 2010 huyu jamaa alikuwa mwendesha kipindi cha uchambuzi kama sijakosea..
Kama alikuwa TBC basi atakuepo tu si unajua mpaka afikishe 60 ndio anastaafu.
 
Huyu alikua mkuu wa dawati la michezo
Ila msisahau kua TBC ni shirika la serikali
 
Mwaka 2012 nilikuwa radio fulani, alikuwa anakuja kutoa training akitoka BBC katika programu ya BBC MEDIA ACTION.
Kuna Vituo kadhaa vya radio alivyokuwa anahudumia
 
Mwaka 2012 nilikuwa radio fulani, alikuwa anakuja kutoa training akitoka BBC katika programu ya BBC MEDIA ACTION.
Kuna Vituo kadhaa vya radio alivyokuwa anahudumia
Bila shaka yupo nje kwa sasa maana humu ndani nchini hajasikika kwa muda mrefu sana
 
Pendael omary alikuwa anakimudu Sana kipindi cha michezo.... Alikuwa a najiandaa vya kutosha
 
Back
Top Bottom