Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Kwa muda mrefu sasa tangu 2011, sifuatilii habari mbalimbali kupitia Redioni na kuangalia Luninga/Television.
Kwa sasa mitandao ya kijamii ndio chanzo kikuu kinachonipatia habari mbalimbali kutoka kila kona ya Dunia.
Huyo mtangazaji tajwa hapo juu alikuwa ni mtangazaji wa moja ya kituo cha Redio(sikumbuki ni kituo kipi) cha Serikali.
Kwa sasa mtangazaji huyo bado yupo anachapa kazi?
Mwenye taarifa zaidi atujuze.