Kwa hiyo inawezekana bado yupo TBC akiendelea na kazi? Maana kimy kingi sana kuhusu huyu mtangazaji.Huyu alikuwa TBC..back in the days wanaonyesha kombe la dunia 2010 huyu jamaa alikuwa mwendesha kipindi cha uchambuzi kama sijakosea..
Kwa hiyo inawezekana bado yupo TBC akiendelea na kazi? Maana kimy kingi sana kuhusu huyu mtangazaji.
Kama alikuwa TBC basi atakuepo tu si unajua mpaka afikishe 60 ndio anastaafu.Huyu alikuwa TBC..back in the days wanaonyesha kombe la dunia 2010 huyu jamaa alikuwa mwendesha kipindi cha uchambuzi kama sijakosea..
Aliacha kazi TBC kipindi cha miaka ya 2011+ akaenda nje, ila alirudi sijajua yupo wapi sasaHuyu alikua mkuu wa dawati la michezo
Ila msisahau kua TBC ni shirika la serikali
Bila shaka yupo nje kwa sasa maana humu ndani nchini hajasikika kwa muda mrefu sanaMwaka 2012 nilikuwa radio fulani, alikuwa anakuja kutoa training akitoka BBC katika programu ya BBC MEDIA ACTION.
Kuna Vituo kadhaa vya radio alivyokuwa anahudumia