Wewe ndio unatakiwa ubainishe hivyo vyanzo vya mapato walivyonavyo wasafi!! Kwani tujuavyo sisi kwenye upande wa matangazo, wadhamini wamepunguza sana bajeti zao.hv unajua mapato ya hv vituo yanapatikana vp..?
Ukilijua hlo utajua wanwezaje kuwalipa watangazaji wao
Mkuu me sitaki leage mi nimetoa mawazo yangu tuu.kwahiyo sehemu ukikaa sana unatakiwa uondoke
Ila mbinyo kwenye sekta nyingine umeathiri mpaka kwenye media. Mapato ya media yameshuka kiasi cha kupelekea media zipunguze bei ya matangazo ili kuvuta wateja.Wewe ndio unatakiwa ubainishe hivyo vyanzo vya mapato walivyonavyo wasafi!! Kwani tujuavyo sisi kwenye upande wa matangazo, wadhamini wamepunguza sana bajeti zao.
Ameenda kula lunch?Write your reply... Charles William wa breakfast amesepa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ameenda kula lunch?
dodge
Sure man, Sam anafahamu namna ya kwenda na rika tofautiSema Sam Misago akiReplace Shilawadu na kipindi kama FNL pale Clouds patakua pamoto sana[emoji91][emoji91][emoji91]
Sent using Jamii Forums mobile app
EATV & Radio njaa kali mno asikwambie mtu, na huenda ni IPP Media au Tasnia nzima ya Habari.... wanafanya kazi bila malipo kwa muda mrefu na hata wakilipwa ni kiduchu.
Huko Wasafi pia wapo wengi tu hata waliokimbilia bado wanakopwa kwa ahadi tamu tamu, usione SuperBrands wanajitanua wengi wao ni kujigamba tu kuficha njaa.... ila kwa EATV nina uhakika kabisa.
EATV & Radio mgogoro umeanzia kwa RIP, labda le madame JN (mrithi) awaonee huruma tu.
Sio kweli wafanyakazi wa Eatv km wangekuwa awalipwi siwangekuwa wameacha kazi.
Waache kazi wafanye nini, mtaani sio poa acha ubishi... hata hivyo huu uzi ni wa kitambo na kwa sasa walipozwa kidogo malimbikizo.
Wafanyakazi awalipwi alafu wanaendesha magari
....IPP Media njaa kali kitamboooWafanyakazi awalipwi alafu wanaendesha magari