Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

Wewe ndio unatakiwa ubainishe hivyo vyanzo vya mapato walivyonavyo wasafi!! Kwani tujuavyo sisi kwenye upande wa matangazo, wadhamini wamepunguza sana bajeti zao.
Ila mbinyo kwenye sekta nyingine umeathiri mpaka kwenye media. Mapato ya media yameshuka kiasi cha kupelekea media zipunguze bei ya matangazo ili kuvuta wateja.
 
EATV & Radio njaa kali mno asikwambie mtu, na huenda ni IPP Media au Tasnia nzima ya Habari.... wanafanya kazi bila malipo kwa muda mrefu na hata wakilipwa ni kiduchu.

Huko Wasafi pia wapo wengi tu hata waliokimbilia bado wanakopwa kwa ahadi tamu tamu, usione SuperBrands wanajitanua wengi wao ni kujigamba tu kuficha njaa.... ila kwa EATV nina uhakika kabisa.

EATV & Radio mgogoro umeanzia kwa RIP, labda le madame JN (mrithi) awaonee huruma tu.





Sio kweli wafanyakazi wa Eatv km wangekuwa awalipwi siwangekuwa wameacha kazi.
 
Back
Top Bottom