Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

mayowela

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,753
Huyu jamaa kapotelea wapi, hasikiki redioni wala kwenye TV, alisikika kwenye Power Jam, The Cruise, Friday Night live na Enewz, kwa kipindi kirefu sasa hasikiki reddioni wala kuonekana kwenye TV
 
Ameacha kazi eatv, so tutarajie lolote popote kuanzia sasa. Za chini ya kapeti zinasema eti jamaa aliomba uongozi wamuongezee salary uongozi ukakataa jamaa akaamua kuchukua hamsini zake.
alijiongeza, inasemekana pale ukienda nao tofauti tu ni shida, na ndio yaliotokea kwa Mafuvu, but Online chanel yake inafanya vizuri
 
alijiongeza, inasemekana pale ukienda nao tofauti tu ni shida, na ndio yaliotokea kwa Mafuvu, but Online chanel yake inafanya vizuri
Hakuna tatizo hapo. Yote ni maisha ya kutafuta. Unataka kusema Zembwela naye kaondoka kwa ubaya? Ukipata sehemu nyingine inayokulipa na mwajiri wako wa sasa umemwambia kusudio lako lakuondoka kama hawezi kufika ile offer ya upande wa pili unaondoka tu kistaarabu. Hapo hakuna tatizo ni maslahi tu.
 
Hivi wasafi wanawazidi mapato EATV na CLOUDS
Inwezekana hawana mapato makubwa kuwazidi EATv lakini strategy yao ya kuchukua majina makubwa kwenye industry inawaaminisha kuwa watakuja kuinua redio na mapato yao huko mbele ya safari kwa haraka zaidi kuliko kuanza na watangazaji ambao hawana majina. Hawa wenye majina tayari wana ushawishi kutokana na fan base yao.
 
Back
Top Bottom