Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

EATV & Radio njaa kali mno asikwambie mtu, na huenda ni IPP Media au Tasnia nzima ya Habari.... wanafanya kazi bila malipo kwa muda mrefu na hata wakilipwa ni kiduchu.

Huko Wasafi pia wapo wengi tu hata waliokimbilia bado wanakopwa kwa ahadi tamu tamu, usione SuperBrands wanajitanua wengi wao ni kujigamba tu kuficha njaa.... ila kwa EATV nina uhakika kabisa.

EATV & Radio mgogoro umeanzia kwa RIP, labda le madame JN (mrithi) awaonee huruma tu.
 
Mtuflani Official,
Hivi haiwezekani mtangazaji akihama kituo kimoja kwenda kituo kingine akawa anafanya kipindi tofauti na kule alikotoka!? Maana inaonekana kama vile wanahama na vipindi!? Je, hivi vipindi sio ubunifu wa kituo husika!? Mfano hawa wana Sports Headquarters na hawa wana Sports Arena. Yaani content unakuta ile ile. Sitashangaa kumuona Sam Misago kwenye FNL version ya Wasafi.
 
Clouds itapendeza....maana Wasafi kuna Block 89 siku iz
 
Wanalipa kutokana na mapato yao. Ukiona malipo hayatoshelezi unatafuta kwenye malisho bora zaidi. Maisha si lazima sehemu moja.
Hivi wasafi wanamapato kuliko wengine?!! Wale ni sifa tu kuendesha kituo cha tv/radio kwa mapato mengine!! Ila mwisho wasiku mambo hushindikana
 
hv unajua mapato ya hv vituo yanapatikana vp..?

Ukilijua hlo utajua wanwezaje kuwalipa watangazaji wao
 
JAYJAY, hv we unazan kwa mfano shafii aende East Africa radio atapewa kkutangaza kipindi gan...?
hv zembwela unazan kweli awekwe kwenye bloke 89 or kwenye sports
usajili wa watangazaji ni kama usajili wa wachezaji unasajiliwa kulingana na position unayocheza na mahitaji ya kituo
 
Back
Top Bottom