Yuko wapi mwana JF mwamba Lizaboni?

Wewe unajifanya unanijuq utadhani mke wangu basi taleta posa nyumbani uwe mke wa pili tukate mzizi wa fitna.
Hahahaaaa!

Nimekuchokoza maksudi nikijua utaibuka tu. By the way, uko kimya sana mkuu, Kulikoni?!
Uwe unachungulia hata mara moja moja tunakukumbuka sana wanajukwaa.
 
Bibie naona unapenda kuropoka ovyo humu ukijadili waungwana bila ruksa yao.
Tazama usijeletewa posa ukarusha ngumu hewani .
Wazee tunapenda kuongeza wake siku hizi.
Wewe unajifanya unanijuq utadhani mke wangu basi taleta posa nyumbani uwe mke wa pili tukate mzizi wa fitna.
Mmmh!! This has buffled me, you people seem to think alike, how is this possible?!
Inawezekanaje watu wawili wajibu komenti moja kwa maudhui yanayofanana?! Wonders shall never end.

Hii ni kwako kahtaan , inakuwaje unamjibia Ritz tena ukiwa umejaa ghadhabu kama kwamba nimekutaja wewe? Au wewe ndiye? Kama siye kwa nini ukasirike ilihali sijakutaja wewe?

Hebu niambie ndugu, au wewe ndiye mke mkubwa wa Ritz hivyo hutaki mie niwe mke mdogo? Unaogopa visa vya uke wenza? Sasa mimi nakubali posa ya Ritz niwe mke wa pili ili nije nikunyooshe mbwa wewe!
 
Unataka mathnaaa siyo??!!

Sasa ukiwa mathnaa utanyoosha au wewe ndie utanyooshwa..!!

Maana wanawake wa kisukuma mnakuwaga na gubu Sana nyinyi...
 
Unataka mathnaaa siyo??!!

Sasa ukiwa mathnaa utanyoosha au wewe ndie utanyooshwa..!!

Maana wanawake wa kisukuma mnakuwaga na gubu Sana nyinyi...
Nitanyooshwa vipi sasa ilihali mume atakuwa anashinda kwangu tu mimi si bado chombo kipya?! Huyo bi mkubwa kahtaan mume atakuwa anamsikia tu kwenye majira!
 
Nitanyooshwa vipi sasa ilihali mume atakuwa anashinda kwangu tu mimi si bado chombo kipya?! Huyo bi mkubwa kahtaan mume atakuwa anamsikia tu kwenye majira!
Aaah wapi wewe...

Chombo kipya? now days nyinyi kilometer odometer inakua imekimbia Sana nyinyi,si mnapenda maisha ya kitonga...
 
Teh teh teh.
Kawaida ya watoto vikojozi kuhara ovyo hadharani namna hii.
We binti mgeni humu JF. lkn unapenda saana kujamba mbele ya wanamme.
Km umekosa mme omba msaada. Sio kupayuka ovyo km kuna kitu kimenasa huko backside.

You'll ended up with early pregnancy nicompoop.
 
Aaah wapi wewe...

Chombo kipya? now days nyinyi kilometer odometer inakua imekimbia Sana nyinyi,si mnapenda maisha ya kitonga...
Kamanda Big show.
Naona unampa kuefeso chembe kidevu.
🤣
 
Nitanyooshwa vipi sasa ilihali mume atakuwa anashinda kwangu tu mimi si bado chombo kipya?! Huyo bi mkubwa kahtaan mume atakuwa anamsikia tu kwenye majira!
We ukiwa mnato dunia lzm ifike mwisho.
Jamvi la wageni hata ulisafishe vipi shombo lzm iwemo tu.
Yaani we km ni gari basi ni FUAT MBAULA. Mkasi chini mkasi juu.
Engine imeshachongwa mpk Oversized.
🤣
 
Niombe msaada wa nini ili hali mumeo Ritz keshanipenda na ameahidi kuja kutoa posa niwe mke wa pili?. Na ninakwambia nitakunyoosha, utakuwa humuoni mumeo hadi mwezi unakatika.

Halafu unaandika lugha gani? " You will ended up.."?
Ndio maana mumeo amekuchoka, kumbe wewe ni kiazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…