Yuko wapi mwanaJF Joseverest?

Yuko wapi mwanaJF Joseverest?

Donald Marcus Hemu

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2019
Posts
372
Reaction score
535
Habarini za jioni wana jf wenzangu poleni na mihangaiko ya jumamosi naimani wote bado tunaendelea kuchukua tahadhari ipasavyo dhidi ya janga la covid-19.

Ngoja niende direct to the point kipindi cha mwaka mmoja hivi au miwili humu JF kulitokea member mmoja alikuwa anaitwa Joseverest jamaa alikuwa on fire sana.

Wazee kama ni ligi ya mabasi wale wazee wa nyanda za juu kusini twaweza kumuita Sauli, kama ni ligi ya mpira basi jamaa ndo alikuwa bingwa ni yeye maana kila thread jamaa kama hayupo namba moja basi lazima tatu bora awepo ilifikia kipindi mpaka watu wakapendekeza jamaa awe mod.

Je, yupo wapi huyu mtu kwa sasa au ndo alishapewa umoderator!!?
 
Nimempa kazi ya kulinda / kuamia ndege anakaa kwenye kanyumba kaleeeee kwenye picha
JPEG_20200426_160031_1265830161.jpg


corona inaua, nawa mikono kwa maji tiririka na sabuni
 
Back
Top Bottom