Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Haha eti ukanda wa juu kaskazini..Wazee kama ni ligi ya mabasi wale wazee wa kanda ya juu kaskazini twaweza kumuita sauli, kama ni ligi ya mpira basi jamaa ndo alikuwa bingwa ni yeye maana kila thread jamaa kama hayupo namba moja basi lazima tatu bora awepo ilifikia kipindi mpaka watu wakapendekeza jamaa awe mod.
Sauli inakwenda Mbeya ambako ni nyanda za juu kusini.