Yuko wapi mwandishi Happiness Katabazi?

Yuko wapi mwandishi Happiness Katabazi?

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Posts
18,887
Reaction score
7,673
Huyu mwandishi ni binti mdogo aliwahikuandikia gazeti la Tanzania Daima kabla ya 'Miayo' na manyang'au kumkimbiza.

Alitabiriwa na Anton Lusekelo kuwa asingefika mwezi may 2017.

Ni muda sasa sijamsikia Happiness Katabazi. Yupo wapi? Anafanya nini? Au lile JUGNA kama alilopigwa Mtulia limemfikia?
 
Siku hizi yupo busy kulamba viatu vya watawala
 
Sema anajipaka mavipodozi mpaka anakuwa kama kinyago,hawa watoto wetu inabidi wajirembe kwa kiasi.
Na ana tatizo la kutaka ajulikana kuwa anafahamika na kila mtu
 
@malimi jr huyo hapo.

22815643_1671449509593697_1889523624515107708_n.jpg
 
Mungu wangu kidogo ndondoshe Device yangu chini aiseeeee!!!!!!!!! nimeogopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah aisee we jamaa ndio unawapa sababu wale wamikoani kudharau sisi wa Dar. Mtoto mzuri hivyo unasema umeogopa?usitufanyie hivyo kijana wetu
 
Hahaaa!!!!! Hii makeup si ya nchi hii aisee nilidhani wale mafarao wa zamani wamerudi!!!! (mama farao)
 
Kwenye kampeni alikuwa kama mwehu,anatukana hovyo, ukijaribu kumweka kwenye mstari alikuwa ana toa matusi balaa,out of that nahakika hajapata lolote zaidi ya kujenga uhasama na watu,hafai
 
Back
Top Bottom