Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Huyu mwandishi ni binti mdogo aliwahikuandikia gazeti la Tanzania Daima kabla ya 'Miayo' na manyang'au kumkimbiza.
Alitabiriwa na Anton Lusekelo kuwa asingefika mwezi may 2017.
Ni muda sasa sijamsikia Happiness Katabazi. Yupo wapi? Anafanya nini? Au lile JUGNA kama alilopigwa Mtulia limemfikia?