Yuko wapi Mzee Kinana?

Soma Ishara Na Alama Taratibu
Mwanri Alisema Fyekelea Fyekelea Mbali
😀😁😂😃😄😄😅😆😆😅😄😃😂😀
 
Mwacheni makamu mwenyekiti ajaye
 
Mzee wetu sijamuoma kwenye matukio ya kitaifa ya karibuni, kuanzia misiba mpaka matukio ya huko Makao Makuu.

Yuko nchini?
Akafanye nini kwenye chama kilicho kusudia kumfukuza uanachama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…