Correction: Adimu.hadimu
Mwanangu umepita wapi ? Namimi pia nlikua napiga chabo kwa mshikaji kwenye express music yake(Nokia) at GalaxyRaha tupu sio ! Enzi niko advance ninamiliki Nokia express music, nilikuwa nipo tayari kijinyima ili ninunue vocha niweze kufungua opera mini nikapate vitu ,,, ! Nakumbuka walokuwa na simu za kuingia Internet enzi hizo school boarding (uboizini) tulikuwa wachache,,,,kwa hio nilikuwa naweka vocha nawalipisha watu jero kwa lisaa, kwa siku sikosi hela ya kula mboga nzuri ama maandaz asbh na chai ,,,,!
Mwanangu umepita wapi ? Namimi pia nlikua napiga chabo kwa mshikaji kwenye express music yake(Nokia) atRaha tupu sio ! Enzi niko advance ninamiliki Nokia express music, nilikuwa nipo tayari kijinyima ili ninunue vocha niweze kufungua opera mini nikapate vitu ,,, ! Nakumbuka walokuwa na simu za kuingia Internet enzi hizo school boarding (uboizini) tulikuwa wachache,,,,kwa hio nilikuwa naweka vocha nawalipisha watu jero kwa lisaa, kwa siku sikosi hela ya kula mboga nzuri ama maandaz asbh na chai ,,,,!
Alikuwa anapatikana Sinza....Hello wakubwa (weka mbali vijana wa 2000)
Leo nimemkumbuka sana huyo dada NANCY MITIKISIKO SALAMBA,Yupo wapi siku hizi ?
Ana chimbo jipya?Kama anachimbo jipya tuambiane wakuu
Vitu vyake vilikua hadimu sana 100% kienyeji
Nimekumiss sana jimama Salamba popote ulipo
NB. Bring back our JLW