Naona file kaachiwa MkunajiMpemba anaendelea kudondosha vitu mdogo mdogo. Ila hii dunia 😆ohooo
Hapana, Nancy namfahamu vyema, na kipindi hiko alikuwa anaishi Marekani.
Haitakuwa vyemaMtag basi hapa
hakuna kitu kibaya au kizuri kama chambia guzi(washenzi) wakiungana rahasanaRaha tupu sio ! Enzi niko advance ninamiliki Nokia express music, nilikuwa nipo tayari kijinyima ili ninunue vocha niweze kufungua opera mini nikapate vitu ,,, ! Nakumbuka walokuwa na simu za kuingia Internet enzi hizo school boarding (uboizini) tulikuwa wachache,,,,kwa hio nilikuwa naweka vocha nawalipisha watu jero kwa lisaa, kwa siku sikosi hela ya kula mboga nzuri ama maandaz asbh na chai ,,,,!
Chinekeeeeeee🤝🤝Sawa mkongwe