Yuko wapi Nape Nauye?

Yuko wapi Nape Nauye?

Kwa nchi hao wote watarudi
Vyeo hivyo vinazunguka tu
Hao watakuja kurudi
Nchi mfumo ndiyo hao hao
Watoto wa fulani

Ova
Nakuamini ulichosema
Kwa nchi hii kuna list ambayo jina likitoka linawekwa tena chini
Hapo ni jinsi gani ya kulirudisha file Ikulu tu

Hapo ni kujikomba komba na hata simu kadhaa kutoka kwa ma elite
 
Nakuamini ulichosema
Kwa nchi hii kuna list ambayo jina likitoka linawekwa tena chini
Hapo ni jinsi gani ya kulirudisha file Ikulu tu

Hapo ni kujikomba komba na hata simu kadhaa kutoka kwa ma elite
Huyu waziri wa mambo ya nje tu sahv aliyeteuliwa ni mtoto wa thabit kombo
Nchi hii ukiangalia wanaoteuliwa ni watoto wa fulani baba zao walishakuwa kwenye mfumo
Wakawachomeka watoto zao
Hao wote wakina nchimbi baba zao walikuwa kwenye mifumo

Inasikitisha sana na hawa watoto wanawaandaa vijana chipukizi wa chama
 
Yupo JF anakusoma.
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
Back
Top Bottom