jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Naona witnessj anakuchokonoa eti mli-share anakosa adabu kiasi hicho kweli.Sawa
Very simple.Umeona alivyopambwa kama kajipodoa yeye tu ingekuwa huku angepakwa marangi
kwani nani alitambua magufuli atabadilika...acha kujitia ushoga kinguvu.Ningeshamtambua. Huwa habadilliki style ya kupost
dah mkuu wewe ni katilibanned
banned
banned again
ila yumo na ID nyingine anakula ubuyu
kiaje mkuudah mkuu wewe ni katili
kwa kubold hilo neno BAN mara 3kiaje mkuu
bora mimi nimeubold moderators wao wanabold na kuweka rangi nyekundu kabisakwa kubold hilo neno BAN mara 3
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]Julius Magembe...unatafutwa huku
Huyu jamaa kapotea siku hizi. Nini kimemsibu? Kajitoa jf? Kapigwa ban? Au kabadili ID?
[HASHTAG]#UsBaby[/HASHTAG]!
cc: Shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
cc: SHAMMANitumie nafasi hii kuwaulizia akina
@elve
illuminata Rogers
@ Qugley ( jamaa avatar yake alikua amemuweka Paul kagame
Thia Is JF.
huwezi kubanwa kama tayari wapo wa kukufanyia ambacho kingekubana.Haya mkuu na mimi naomba sana nibanwe.