witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Huko sikutaki unanizinguaga...maswali na majibu hapahapa!Twende pm au umenizilaaaa bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko sikutaki unanizinguaga...maswali na majibu hapahapa!Twende pm au umenizilaaaa bado
RRONDO ajahah....phantom....
Mfyuuu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shenzeeee
Hee...Boss miss u....phantom....
Sasa mbona hujanitajia lile jina,halaf ile list wapi au ulikuwa una hamu ya kutupiga mikwaraHuyo sikutaki unanizinguaga...maswali na majibu hapahapa!
Ntakupa zawadiMfyuuu!
Nimewatumia marafiki zangu pm!Sasa mbona hujanitajia lile jina,halaf ile list wapi au ulikuwa una hamu ya kutupiga mikwara
Jamaniiii sawaaaa sawa wity utanikutaaaNimewatumia marafiki zangu pm!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamaniiii sawaaaa sawa wity utanikutaaa
Sawa sawa wity tugayane tu kuanzia leo ita mashahidi nami niite wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wee si unajifanya mjanja!
Hana life ban...Kwahiyo nyani ngabu kala life ban!
Shusha madude wangu!Hana life ban...
Asipoangalia huu mwaka ataipata file lake kubwa..... !!!
Genta mzee wa Mitoso akatoswa tena[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Usidanganye watu.....Lakini atarudi siku si nyingi. Anakaribia kurudi Marekani atarud na id yake
Sasa mie namfichaje wakati yuko Us mi niko kwa JPM? Na kama ukisoma ukaelewa nimeandika kiutani hapo.Usidanganye watu.....
Yupo Us bado nna rafiki yangu anaongea Sana!
Usijifanye kumficha....
Ooow!!!Msalimie Deogratius A. B. I
Wabillah tawfiq.....
Mdogo wangu makinika disco limeshaingia mmasai hapa!Sasa mie namfichaje wakati yuko Us mi niko kwa JPM? Na kama ukisoma ukaelewa nimeandika kiutani hapo.
Mkwara wa mbuzi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha bit wewe
Kweli kaka. Nianze kukaa kimachale sasa [emoji23][emoji23]Mdogo wangu makinika disco limeshaingia mmasai hapa!