Yuko wapi Nyani Ngabu?

Yuko wapi Nyani Ngabu?

Status
Not open for further replies.
Jamaniiii sawaaaa sawa wity utanikutaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wee si unajifanya mjanja!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Wee si unajifanya mjanja!
Sawa sawa wity tugayane tu kuanzia leo ita mashahidi nami niite wangu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....

bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..

Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake
Genta mzee wa Mitoso akatoswa tena
 
Lakini atarudi siku si nyingi. Anakaribia kurudi Marekani atarud na id yake
Usidanganye watu.....

Yupo Us bado nna rafiki yangu anaongea Sana!

Usijifanye kumficha....

Ooow!!!Msalimie Deogratius A. B. I

Wabillah tawfiq.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom