Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
SawaTunajua tuliko toka
Tunajua hadi tutako ishia [emoji23]
Asitutishe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaTunajua tuliko toka
Tunajua hadi tutako ishia [emoji23]
Asitutishe
Haya yamejulikana leo msomali wangu!Mwambieni mwanaume mwenzenu aache ligi na watoto wa kike wala hata msimuogope Hana loloteee kelele tu humu jf
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Braza mbona unaleta uchonganishi?
[emoji124]
Hukujua tuuMkuu ulishtuka mapema kuhusu muelekeo wa uzi. Hata mimi sikutaka uelekee huku.
SawaAsitutishee sisi ni Alfa na omega
Haya Ice unaitwa huku [emoji125]Embu zungumza wewe mie nimechoka mwili na roho, kijana atanikondesha huyu [emoji26]
Shost mbona kicheko kikali hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uchokozi au kasema kweli?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Kwenda hukooo
Uache uchokozi
Mama Sabri ana G wake jamanNilikuacha uone tatizo kumbe hukuona chochote Enewei
We mwenyewe form four Kama mimi tu tena ukute ya big result now enzi hizo hata kabla sijazaliwa na Utakunywa madawa mpaka ufe kwa msongo wa mawazoMweh!
My big ass?
Unajua ulichokiandika au umejitutumua tu uonake unajua Kizungu?
Teh teh teh.
Kama la MakondaAbeeee? Kama langu hapo kwenye avatar?
Ame miss undesrtand tuu na Mwifwa ndio kamchocheaHaya Ice unaitwa huku [emoji125]
Mwanzo niliona ni burudani ila now na mimi nagundua i was too naive!Sirudii tena...I was too naive!
We mwenyewe form four Kama mimi tu tena ukute ya big result now enzi hizo hata kabla sijazaliwa na Utakunywa madawa mpaka ufe kwa msongo wa mawazo
Ulimcheka Nifah kwao papaya mbona hata kwenu pa kawaida tu na wala huna msaada kwenu
Mamaaaaa mnanijua mnanisikia mimi Kama Daudi naweza muua goliatiHatarii!binamu huogopi kupigwaa
Kwani huyu jamaa ni mtu mzima sana?We mwenyewe form four Kama mimi tu tena ukute ya big result now enzi hizo hata kabla sijazaliwa na Utakunywa madawa mpaka ufe kwa msongo wa mawazo
Ulimcheka Nifah kwao papaya mbona hata kwenu pa kawaida tu na wala huna msaada kwenu
Kweliii?Kama la Makonda
Uache kubebisha sasa unamkwaza Ney...Ame miss undesrtand tuu na Mwifwa ndio kamchochea
Mmmmh!Sirudii tena...I was too naive!