Duh kweli popoma nae kapotea!Where is the former
Tanzania intelligence officer GENTAMYCINE?
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
[emoji23] this is a serious one!Aisee....mwenyewe huwa anasema 'you got jokes'
Walisema kapigwa banWhere is the former
Tanzania intelligence officer GENTAMYCINE?
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Pia kwako hana umuhim ndo maana hujui alipo. Pia hata yeye hana umuhim kwako ndo maana hajakujulisha alipoHana umuhimu kwako.
Jumamosi njemaUjuaji mwingine bhana....
[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]eti king of kengeMambo ya Jf bwanaπππ Ngabu the king of all kenge (Wasio na masikio) anakula bata ntyatilanashashi
Katekwa na wasiojulikana.Ningeshamtambua. Huwa habadilliki style ya kupost
Acha maneno mingi muongezee kwanza bae hela akanunue S9![emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ndio umegoma kumrudisha Paprika ?
Jimmy tafadhali naomba usirudie kusema hivyo tena sina mahusiano na huyo mtu kivyovyote tena ,nna mwanaume wangu humu kama vitu hujui ni bora kunyamaza na kuepusha migogoro isiyo na maanaMama Sabrina yuko wapi bwana ako?
Jamani Genta alifanyaje tena nammiss kweliiWhere is the former
Tanzania intelligence officer GENTAMYCINE?
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer