jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Kumradhi mama sema nilikuwa natania kwa sababu najua huwa haziivi kabisaJimmy tafadhali naomba usirudie kusema hivyo tena sina mahusiano na huyo mtu kivyovyote tena ,nna mwanaume wangu humu kama vitu hujui ni bora kunyamaza na kuepusha migogoro isiyo na maana