Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Hahahaahah kwa hiyo Genta aliaibika eee [emoji23][emoji23][emoji23] putin nimekudharau naomba umuache Genta wetu mi na Shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..huyu mkuu baada ya kumfunguLia uzi Shunie .." Shunie sasa waweza jiita Mr.Genta....
bahati mbaya shunie naye akafungua uzi " Kwa Davet Wangu" ..
Daaahhh mkuu Genta akapotea!!!....bado nawakumbusha ,usimfungulie uzi mwanamke wa JF km huna uhakika wa mahusiano yake